
application/pdf
Malezi Bora Katika Msingi wa Neno la Mungu Je, wewe ni mzazi unayetamani kulea watoto wanaomcha Mungu katika kizazi chenye changamoto nyingi? Malezi Bora Katika Msingi wa Neno la Mungu ni mwongozo wa kibiblia unaowasaidia wazazi kuelewa wajibu wao wa kulea watoto kwa hekima, upendo na nidhamu kulingana na Neno la Mungu. Kupitia mafundisho ya Biblia na mifano ya vitendo, kitabu hiki kitakufundisha jinsi ya: Kuweka msingi wa kiroho ndani ya familia. Kuwalea watoto wenye tabia njema na hofu ya Mungu. Kutumia upendo na nidhamu kwa usawa. Kukabiliana na changamoto za malezi katika ulimwengu wa leo. Kuandaa watoto kutimiza kusudi la Mungu katika maisha yao. Kitabu hiki si cha wazazi pekee, bali pia ni rasilimali muhimu kwa wale wanaojiandaa kuwa wazazi, viongozi wa kanisa, walimu wa shule za Jumapili, na kila anayejali ukuaji wa kizazi kinachomjua Mungu.
Price
TZS 8,000
Secure download appears after Pesapal payment verification.
After payment is confirmed, you will receive a signed download link on the confirmation page and via the product's download page. No account needed.
Payments are processed through Pesapal, supporting mobile money (MTN, Airtel), debit and credit cards, and bank transfers in UGX.
Because digital products are delivered instantly, refunds are handled case by case for duplicate charges, failed delivery, or verified creator error.